Msanii wa Tanzania bongo fleva
Hummer q aja na style tofauti tofauti 
Katika Mziki wa bongo fleva...Msanii mkongwe wa miondoko ya taarabu, mduala na bongo fleva, Hivi karibuni Yupo
Njian kuachia video yake mpya ambayo kwa mujibu wa maelezo yake anadai kaz ipo tayali na jina la Ngoma hiyo itaitwa wakomoe ambayo imefanyika katika studio ya khayalami music chini ya ma produza wawili ambao wanatambulika Kwa majina ya Madiba doctor na Zino selfmade...Kaa tayali kukicheki kichupa kipya cha hummer q...

Kutoka East Africa radio Mr&Mrs Hammer Q walikuwa live wakiitambulisha track mpya iliyofanyika ktk studio za KHAYALAMI MUSIC chini ya producer MADIBA ukiwa kama mdau support yako inahusika ahsanteni sana.Kwamawasiliano zaidi tucheck kwenye 0653069989